Home AUDIO Lyrics | Harmonize X Rich Mavoko – Show me.| Lyrics.

Lyrics | Harmonize X Rich Mavoko – Show me.| Lyrics.

Lyrics | Harmonize X Rich Mavoko – Show me.| official lyrics.
Verse 1 (Harmonize).
Ai mwenzako I feel so Good, kipindi nikikuona /

Au Huo Mwendo Unafanya kusudi na  Ulivyoshona /
Wakati Unakwenda au unarudi  wakata Kona /
Nyuma Ka Katuni za Masudi UlivyoNona./
Hivi Unapenda wa Vifua ka Roboti ama Sanamu /
Au wazee wa Kununua Mwaga Noti akina Salamu/


Chorus
Ooooh Anita macho kama unaniita, aaah  saa Sita

shepu kama Vera Sidika aaah
Anita Macho kama Unaiita , Aaah saa Sita Shepu Vera..
aaah Show Me , Show Me, Show Me…. ( Unavyodance) (Waonyeshe Unavyodance).

Verse 2 (Rich Mavoko).
Umenifinyanga kama Dona, Mmakonde na Ndonya /

Kama Mpira  Maradona, Kichuya Kona /
Na wakisema Na mawenge, Waambie Werrason/
Wakiringisha Peremende, Nitakugawia koni /
Chunga Kipenzi Majaribu, Mabaya sana Oooh /
Nawewe Ndo Dokta wa Kunitibu, Niwe Salama Ooooh /.
Chorus.
Oooh baby Anita macho kama Unaniita aaah

Saa Sita Kiuno ka Yondo Sister aaaah
Anita macho kama Unaniita aaaah
Saa Sita Kiuno ka Yondo Sister

Ahh Show Me, Show Me Show Me (Unavyodance) (Waonyeshe Unavyodance).
Outro(Both).
Asa Mombasa Nairobi (Sakata Dance)
Kampala Kigali (Sakata Dance)
Zimbambwe Kwatobi (Sakata Dance)
Naija Somali ( Toto Sakata Dance)
Wanangu wa Panya Road (Sakata Dance)
Chaukucha kwa Sadali (Sakata Dance)
Na Unyamani Biomi (Sakata Dance)
Kizonga kwa Natali (Toto Sakata Dance)
Aaaah …. aaaah  …. aaaa… (Unavyodance)  (Waonyeshe Unavyodance)
USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK JAMEC TZ