Home INSTAGRAM INSTAGRAM-”DOGO JANJA” KAWAPA DONGO WASANII WENZAKE CHEKI HAPA?

INSTAGRAM-”DOGO JANJA” KAWAPA DONGO WASANII WENZAKE CHEKI HAPA?


”DOGO JANJA” KAWAPA DONGO WASANII WENZAKE CHEKI HAPA?

Dongo Janja:-Nahisi nnaweza kumaindiwa Leo na wasanii wenzangu ila lazima MTU aanze ndo hili donda ndugu litapona. Wasanii sisi ni masnichi sana aise, baada ya hii ishu ya nandy ndo nimepata uhakika. Wakati wa ishu ya Roma nilianza kuliona jinsi kwenye makundi pembeni watu kibao walikuwa wanafurahi tena maneno kibao kama atakoma, amezoea huyo…Jana na juzi nimekaa na watu wasanii wakubwa tu na wote walikuwa wanasema bora limemtokea nandy hili angalau spidi za show zitapungua…bora basata ingemfungia miezi 6 apotee kdg….walikuwa wanapiga story kama utani ila moyoni nimefikiria sana. Wasanii tuache roho mbaya, wote sisi maskini tunahangaikia ugali. Tukipata ajali kazini, tusiombeane mabaya tutafute amani…vita iwe kwenye kazi jamani. Hizi story za kufurahi ajali kazi mi nazikataa…